Back to All Events

Nyuso Show Dates


  • The Kranzberg Gallery 501 North Grand Boulevard St. Louis, MO, 63108 United States (map)

Nyuso is a love letter to Blackness, tradition, and imagined futures. Inspired by African practices of scarification and layered adornment, these abstract masks are crafted from culturally resonant materials like synthetic hair, clay, sisal, cowrie shells, leather, beads, wood, and handprinted fabric. The work invites viewers to reflect on how identity is shaped, how beauty is defined, and what becomes possible when African traditions are allowed to evolve on their own terms. How is memory carried through the body? What might liberation look like when shaped through our own aesthetic, our own rhythm, our own hands?

Nyuso ni barua ya mapenzi kwa Uweusi, mila, na mustakabali unaofikiriwa upya. Imechochewa na tamaduni za Kiafrika kama vile kutia makovu ya kudumu na mapambo ya mwili yaliyosheheni tabaka nyingi, barakoa hizi za kifasihi zimetengenezwa kwa vifaa vyenye mizizi ya kitamaduni kama nywele za bandia, udongo, makonge, susu (cowrie shells), shanga, mbao, na vitambaa vilivyochorwa kwa mikono. Kazi hii inawaalika watazamaji kutafakari jinsi utambulisho unavyoundwa, uzuri unavyotafsiriwa, na ni nini kinaweza kutokea ikiwa tamaduni za Kiafrika zingekua kwa mwendo wao wa asili. Je, kumbukumbu huishi vipi katika miili yetu? Na uhuru unaweza kuonekana vipi iwapo tutaufuma kwa mtazamo wetu, kwa midundo yetu, kwa mikono yetu wenyewe?

Previous
Previous
July 18

Nyuso Show Opening